Kagera waanza kuchukua tahadhari ya Ebola

Mkoa wa Kagera umeanza kuchukua hatua za kuimarisha uchunguzi na kuwapima afya kwa kutumia mashine wasafiri wote wanaoingia nchini kupitia katika mipaka yote, ili kudhibiti ugonjwa wa Ebola usiingie nchini, baada ya kugundulika kuwepo kwa ugonjwa huo katika wilaya ya Mubende nchini Uganda

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS