Shilingi Milioni 183 Kuhudumia Timu za Taifa

Kikosi cha timu ya taifa ya Tanzania Taifa Stars

Naibu Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe.Pauline Gekul, amesema kiasi cha shilingi Milioni 183.5 zimetengwa katika mwaka huu wa fedha 2022/23 kwa ajili ya kuhudumia timu za Taifa.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS