Rais Putin akoleza vita Ukraine. Rais wa Urusi Vladmir Putin ametiasaini amri ya kuwahamasisha raia kujiunga na vikosi vya jeshi.Rais huyo ametangaza kukusanya wanajeshi wa ziada kwa ajili ya vita nchini Urusi. Read more about Rais Putin akoleza vita Ukraine.