Polisi waahidi kuendelea kutoa elimu kwa wananchi
Jeshi la Polisi Kitengo cha usalama barabarani limeahidi kuwa litaeendelea kutoa elimu kwa watumiaji wa barabara, huku akiwapongeza wadau kutoka sekta binasfi ambao wamekuwa wakitoa elimu ya usalama barabarani.