Boti yazama na kuua wahamiaji 11 Takribani watu 11 wanahofiwa kufa maji katika Pwani ya Tunisia, huku wengine 12 wakiwa hawajulikani walipo baada ya boti iliyokua imewabeba wahamiaji 37 kuelekea nchini Italia kuzama jumanne iliyopita. Read more about Boti yazama na kuua wahamiaji 11