Rais Samia kutangaza matokeo ya sensa
Tanzania imesema zoezi la sensa na makazi limefanikiwa kwa hatua mbili za mwanzo, huku hatua ya tatu ya kuchakata na kuchapisha taarifa ikiwa inaendelea ambapo Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan, akitarajiwa kutangaza matokeo ya zoezi hilo.