Ujenzi wa bandari ya Ndumbi ziwa Nyasa wakamilika Bandari ya Ndumbi Ziwa Nyasa Mradi wa kimkakati wa ujenzi wa bandari ya Ndumbi katika ziwa Nyasa wilayani Nyasa mkoani Ruvuma uliogharimu shilingi bilioni 12 umekamilika. Read more about Ujenzi wa bandari ya Ndumbi ziwa Nyasa wakamilika