Serikali yatakiwa kuangalia ufunguaji wa mipaka
Wakulima na wadau wa Kilimo mkoani Morogoro wameiomba serikali kuangalia upya suala la kufungua mipaka ya nchi ambalo limepelekea wafanyabiashara kutoka nje ya nchi kuingia nchini na kununua mazao yakiwa mashambani na mashineni licha ya kuwepo na mavuno machache kwenye msimu uliyopita.