Wafugaji watakiwa kufuga kisasa Waziri wa Mifugo na Uvuvi Abdallah Ulega Naibu Waziri wa Mifugo na Uvuvi Abdallah Ulega (Mb) ametoa rai kwa wafugaji nchini kununua ardhi kwa ajili ya ufugaji na kuweka miundombinu muhimu na kufuga kisasa ili kukuza uchumi wao na taifa kwa ujumla. Read more about Wafugaji watakiwa kufuga kisasa