Waziri Masauni ahamasisha umoja michezoni
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi Mhandisi Hamadi Masauni amewataka askari Polisi wanaoshiriki michezo ya shirikisho la Jumuiya ya Majeshi ya Polisi ya Nchi za Kusini mwa Afrika SARPCCO GAMES kuzingatia taratibu zote na kanuni za michezo ikiwemo kujiepusha na vitendo ambavyo havikubaliki.