Rais Samia atangaza siku tano za maombolezo Kufuatia kifo cha Malkia wa Uingereza, Elizabeth II September 08,2022 nchini Uskochi, Rais wa Tanzania Samia, ametangaza siku tano za maombolezo ya kitaifa kilichotokea September 08,2022 nchini Uskochi. Read more about Rais Samia atangaza siku tano za maombolezo