TPBRC yapewa siku tano sakata la Mwakinyo

Bondia Hassan Mwakinyo

Katibu Mtendaji wa Baraza la Michezo la Taifa (BMT) Neema Msitha ameuagiza uongozi wa Kamisheni ya Ngumi za Kulipwa Tanzania (TPBRC) kuwasilisha taarifa ya safari ya bondia Hassan Mwakinyo nchini Uingereza mwisho siku ya Jumanne Septemba 13, 2022.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS