Miaka 70, siku 274 za Utawala wa Malkia Elizabeth

Malkia Elizabeth II, aliyekuwa Mtawala wa Uingereza kwa miaka 70

Malkia Elizabeth II anakuwa kiongozi pekee aliyetawala kwa muda mrefu zaidi katika historia ya kifalme balani Ulaya, huku akiwa mtawala wa Uingereza aliyetawala kwa muda mrefu zaidi ikiwa ni jumla ya miaka 70 na siku 274.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS