Wafanyabiashara wa mbao Njombe walia na TRA
Wafanyabiashara wa mbao mkoani Njombe wamesema wanakwama kufanya biashara hiyo kwa sababu ya mlundikano wa kodi na ushuru unaosababishwa nabaadhi ya maafisa wa Mamlaka ya Mapato Tanzania ( TRA ) na halmashauri ya wilaya hiyo.