Viwanja vya sabasaba kufanyiwa maboresho
Zaidi ya shilingi bilioni mbili zinatarajiwa kutumika kukarabati miundombinu ya barabara za ndani ya viwanja vya maonesho ya kimataifa ya Julius Nyerwre maarufu kama sabasaba kufuatia miundombinu hiyo kuchakaa