Wafanyabiashara kuhamishiwa soko la wazi Dodoma
Mkurugenzi wa Halmashauri ya Jiji la Dodoma, Joseph Mafuru ametangaza neema ya kuhamishwa wafanya biashara ndogondogo kutoka maeneo ambayo siyo rasmi na kuwapanga katika Soko la Wazi la Machinga kwa amani na utulivu ili waendelee kutekeleza majukumu yao.