Mwanamke auawa na mwili wake kutupwa vichakani
Jeshi la polisi Mkoa wa Njombe linamshikilia mwanaume mmoja mkazi wa kijiji cha Kifanya kitongoji cha Muungano kwa tuhuma za kuhusika na mauaji ya mwanamke ambaye utambulisho wake haujajulikana anayekadiriwa kuwa na umri wa kati ya miaka 25-28 aliyekutwa amefariki kwenye shamba la miti