SAPP KUMALIZA KERO ZA UMEME NCHI 12 AFRIKA
Jumuiya ya nchi za kusini mwa Afrika zimeandaa mpango mkakati wa kumaliza changamoto za umeme zilizokuwa zinawakabili na kusababisha kupunguza uzalishaji katika nchi 12 kwa kusaidiana umeme kutoka nchi moja kwenda nyingine.