Wakongwe wa burudani tumerudi
Katika kuhakikisha sasa ubora wa burudani unarudi kwao waanzilishi hii leo Septemba 8, 2022, kampuni THE WORKS kwa kushirikiana na East Africa Television na East Africa Radio wamesaini mkataba kwa ajili ya kuandaa na kusimamia matukio mbalimbali ya burudani.