Bodaboda wanaovunja sheria Mbeya wasakwa
Jeshi la Polisi mkoani Mbeya, limetangaza operesheni ya kuwakamata madereva wa pikipiki maarufu kama bodaboda wakataokuvunja sheria za usalama barabarani ikiwemo kupita kwenye taa za kuongoza magari bila kufuata utaratibu