Serikali kuondoa tozo miamala kuanzia sh.0 -30,000

Kamishna Msaidizi wa Uchambuzi wa Sera kutoka Wizara ya Fedha na Mipango, William Mhoja

Serikali ya Tanzania inatarajia kufanya marekebisho kadhaa katika tozo za miamala ya kifedha ikiwani pamoja na kuhamisha fedha kutoka benki kwenda mitandao ya simu na kufuta tozo za kuhamisha fedha ndani ya benki moja, ili kuepuka utozaji kodi mara mbili.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS