"Bangi inatumika zaidi hapa Tanzania" - Dkt Mfisi
Kamishna wa Kinga na Tiba kutoka Mamlaka ya Kudhibiti na Kupambana na Dawa za Kulevya Tanzania (DCEA), Dkt. Peter Mfisi, amesema kwamba dawa ya kulevya inayoongoza kwa kutumiwa zaidi hapa nchini ni bangi ikifuatiwa heroin.