Mzizima Dabi leo ,Mzunguko 3 Ukirejea
Mzunguko wa 3 wa Ligi Kuu Tanzania Bara(NBC Premier League 2022/23) inarejea leo kwa michezo miwili kuchezwa baada ya kusimama kwa wiki mbili kupisha michezo ya Taifa Stars ya kuwania kufuzu fainali za CHAN 2023 nchini Algeria.