Mwenda atemwa Singida Big Stars Harrison Mwendwa Klabu ya Singida Big Stars imeachana na aliyekuwa winga wake mshambuliaji, Harrison Mwendwa ikiwa ni mwezi mmoja tu tangu iingie nae mkataba wa mwaka mmoja. Read more about Mwenda atemwa Singida Big Stars