Watu watano wafariki kwenye ajali Shinyanga

Picha ya ajali ya basi la abiria lililogongana na fuso eneo la Ibadakuli Shinyanga

Basi la Kampuni ya Super Najmunisa lililokuwa likitoka Jijini Dar es salaam kuelekea Mkoani Mwanza limegongana uso kwa uso na Fuso katika eneo la Ibadakuli Manispaa ya Shinyanga na kusababisha vifo vya watu watano na majeruhi 56.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS