IGP Wambura awataka askari kutenda haki

IGP Camillus Wambura baada ya uzinduzi wa Kituo cha Polisi Ngoyoni

Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini IGP Camillus Wambura amewataka askari wa Jeshi hilo kuzingatia uadilifu na kutenda haki wakati wanapo wahudumia wananchi kwa kufanya kazi kwa weledi ili kufikia malengo ya kulinda watu na mali zao.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS