Zaidi ya 95% ya mafuta ya kula hupitia Mbweni RC Makala na Waziri Jafo wakiwa Bandari ya Mbweni Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Mhe. Amos Makalla ameelekeza Mamlaka ya Bandari kufanya Maboresho ya Miundombinu ya Bandari ndogo ya Mbweni Baada ya Rais Samia kurasimisha rasmi Bandari hiyo. Read more about Zaidi ya 95% ya mafuta ya kula hupitia Mbweni