Barcelona yatafuta mrithi wa Busquets
Klabu ya FC Barcelona imeaanza mchakato wa kutafuta mrithi wa kiungo wake mkabaji Sergio Busquets mwenye umri wa miaka 34 anayetajwa kuwa ataondoka klabu hapo mwishoni mwa msimu huu baada ya kuwa ameitumikia klabu hiyo kwa miaka 17.