Haaland kiboko avunja rekodi ya mabao EPL

Erling Haaland kafunga mabao 9 kwenye michezo 5 ya EPL

Mshambuliaji wa Manchester City Erling Haaland ameweka rekodi mpya ya kufunga mabao kwenye ligi kuu soka nchini England EPL baada ya kufunga mabo 3 (Hat-trick) kwenye mchezo dhidi ya Nottingham Forest City wakiibuka na ushindi wa mabao 6-0.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS