QiPads wachangia pedi kwa wanafunzi mwaka mzima

Wawakilishi wa kampuni ya QiPads wakiwa katika ofisi za East Africa TV na East Africa Radio.

Kampuni ya taulo za kike ya QiPads siku ya leo imechangia kampeni ya Namthamini taulo za kike pakiti 48, ambazo zitakwenda kuwasaidia wanafunzi wa kike wanne kwa mwaka mzima shuleni.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS