Antony asajiliwa Manchester United kwa Bilioni 233

Antony ana umri wa miaka 22raia wa Brazil

Klabu ya Manchester United imekamilisha usajili wa winga Antony Raia wa Brazil kutoka klabu ya Ajax ya Uholanzi na atasaini mkataba wa miaka 5 wenye kipengele cha kuongeza mwaka mmoja zaidi.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS