Mawakili wa Sabaya waomba kuhamishwa Mahakama
Upande wa utetezi katikaa kesi ya uhujumu uchumi namba 2 ya mwaka 2022, inayomkabili aliyekuwa mkuu wa wilaya ya Hai, Lengai Ole Sabaya, na wenzake wanne wameomba shauri hilo kuhamia Mahakama Kuu ili kesi hiyo ianze kusikilizwa na washtakiwa wajue hatma yao.