Wasomi Kigoma wadaiwa kutoitumikia jamii yao

Mkuu wa wilaya ya Kigoma Ester Mahawe

Mkuu wa wilaya ya Kigoma Ester Mahawe, amewahimiza wasomi na wakuu wa idara mbalimbali mkoani humo, kuanza kuzitumikia taaluma zao ili kuleta mabadiliko chanya kwa wananchi.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS