"Kona zisiwe nyingi kwa anayehitaji dhamana"- DCI
Mkurugenzi wa Upelelezi wa Makosa ya Jinai nchini (DCI) Ramadhan Kingai, amewataka Askari nchini kujiepusha na vitendo vya rushwa wawapo kazini na badala yake amewataka wafanye kazi kwa weledi na uaminifu mkubwa.