Wizara ya Afya kutathimini hali ya UVIKO-19
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan, ameiagiza Wizara ya Afya kufanya thathimini ya hali ya mambukizi ya UVIKO – 19 na kutoa ripoti kwa wananchi waendelee na uvaaji wa barakoa au wapumzike.