Serikali yaahidi kituo cha afya Chato
Serikali kupitia Wizara ya Maliasili na Utalii imeahidi kujenga kituo cha afya kwenye kata ya Minkoto Wilayani Chato ili kuwapunguzia adha ya kutembea umbali mrefu kufuata huduma za afya wananchi wa kata tatu zinaozunguka Shamba la Miti Silayo