Waziri Mkuu ataka mawasiliano imara zoezi la sensa Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amewaagiza wakuu wa mikoa yote nchini waimarishe mawasiliano ili kutatua changamoto zitakazojitokeza wakati zoezi la sensa likiendelea. Read more about Waziri Mkuu ataka mawasiliano imara zoezi la sensa