TMA yatoa tahadhari ya ukame nchini
Mamlaka ya hali ya hewa nchini TMA imetoa utabiri wa mwelekeo wa msimu wa mvua za vuli zinazotarajiwa kuanza mwezi Oktoba hadi Disemba unaoonyesha kwamba maeneo mengi ya nchi yatapata mvua za chini ya wastani hadi wastani.