Serikali itaendelea kumkumbuka Mrema - Majaliwa Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amesema Serikali itaendelea kumkumbuka Mhe. Augustino Lyatonga Mrema kutokana na mchango wake mkubwa wa kuendeleza mahusiano na vyama vya siasa. Read more about Serikali itaendelea kumkumbuka Mrema - Majaliwa