Azam kucheza na Arta Solar
kikosi cha Azam FC , katika kuendelea kujiweka sawa na mashindano ya Ligi Kuu NBC pamoja na Shirikisho Afrika kwa muda huu ligi imeenda mapumziko kwa ajili ya kupisha ratiba ya CAF itacheza mechi ya kirafiki dhidi ya AS arta Solar 7.