Waziri Simbachawene amshukuru Rais Samia
Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu, Sera, Bunge na Uratibu George Simbachawene, amemshukuru Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan kwa kutoa kiasi cha shilingi billioni 16 kwa mwaka uliopita wa fedha ambazo zimetekeleza miradi mbalimbali katika Halmashauri ya Mpwapwa.