Mwalimu ajinyonga kisa mgogoro na mke wake
Kamanda wa Polisi mkoa wa Tabora ACP Richard Abwao, amesema kuwa Karani wa Sensa ambaye alikuwa ni mwalimu wa shule ya msingi Buchenjegele wilayani Igunga, aliyejinyonga mkoani humo aliacha ujumbe ambao ulihusisha mgogoro wa kifamilia baina yake na mke wake.