Mkuu wa shule na mhasibu wapandishwa kizimbani
Mkuu wa shule ya Sekondari Faraja pamoja na Mhasibu wa shule hiyo wamefikishwa mbele ya mahakama kuu ya Zanzibar Tunguu kwa tuhuma ya kujipatia fedha zaidi ya milioni 50 kwa njia ya udanganyifu fedha ambazo ni za serikali