Afisa mipango atuhumiwa kubaka mtoto kwenye gari
Dickson Beno Mwenda (37) ambaye ni Afisa mipango miji wa Halmashauri ya Mpimbwe wilaya ya Mlele Mkoa wa Katavi anashikiliwa na Jeshi la Polisi kwa tuhuma za kumbaka binti mdogo mwenye umri wa miaka 15 ndani ya gari