Dkt.Nchemba kusomesha watoto wa diwani aliyefariki
Waziri wa Fedha na Mipango na Mbunge wa Iramba Magharibi, Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba, ameahidi kuchangia gharama za masomo kwa watoto wa aliyekuwa Diwani wa viti maalum tarafa ya Kinampanda Iramba, Bi. Winjuka Mkumbo, aliyefariki kwa ajali ya gari iliyotokea Wilaya ya Manyoni Singida