Wananchi wadhibitiwa kuchota mafuta Dodoma
Lori la mafuta limeanguka hii leo Agosti 22, 2022, wilayani Kongwa mkoani Dodoma, ambapo vyombo vya ulinzi na usalama vilifanikiwa kuwawahi wananchi ili wasikimbilie kuchota mafuta na kuepuka athari za vifo vinavyotokana na mlipuko wa malori ya mafuta.