Msigwa aomba utulivu suala la tozo
Msemaji Mkuu wa serikali Gerson Msigwa, amesema kuwa kuna upotoshaji mkubwa kuhusu tozo za miamala ya kielektroniki iliyoanza katika mwaka huu wa fedha (2022/23) na kusema serikali imepunguza kwa kiasi kikubwa tozo hizo.