Rais Samia awatoa hofu Watanzania
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan, amewatoa hofu Watanzania kwamba maswali yatakayoulizwa yote yanajibika na kuwasihi wayatafute maswali mapema na kuandaa majibu kabla makarani hawajapita kuwahesabu.