Waziri Mkuu atatua mgogoro wa miaka 3 Kinondoni Waziri Mkuu Kassim Majaliwa Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, ametatua mgogoro wa ardhi uliodumu kwa miaka mitatu katika eneo la Boko-Dovya, wilayani Kinondoni jijini Dar es Salaam baina ya Aloyce Mwasuka na Salutari Massawe. Read more about Waziri Mkuu atatua mgogoro wa miaka 3 Kinondoni