Maandamano Sierra Leone yalikuwa yakushtukiza Rais wa Sierra Leone Julius Maada Bio amesema kwamba maandamano ya wiki iliyopita dhidi ya serikali yake yalikua ya kushtukiza na kupelekea Polisi kutumia nguvu nyingi Read more about Maandamano Sierra Leone yalikuwa yakushtukiza